Nimevutiwa na Miundombinu ya TEHAMA iliyopo katika shule hii, Wanufunzi mhakikishe mnaitunza ili iwe na tija na kutimiza malengo yenu ya kujisomea